(navigation image)
Home Audio Books & Poetry | Community Audio | Computers & Technology | Grateful Dead | Live Music Archive | Music & Arts | Netlabels | News & Public Affairs | Non-English Audio | Podcasts | Radio Programs | Spirituality & Religion
Search: Advanced Search
Anonymous User (login or join us) Upload

Listen to audio

[item image]

Stream (help[help])

NEW!
VBR M3U
MP3 via M3U

Play / Download (help[help])

NEW!VBR ZIP

Ogg Vorbis

All Files: HTTP

Resources

Bookmark

Njia Panda - Loliondo

You are using our new video/audio player!
I prefer flash (when possible)
Give us feedback!

Kipindi cha Njia Panda kilichorushwa na redio Clouds FM kuhusu tiba inayopatikana Loliondo kijijini Samunge kwa Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ambilikile Masapila ambaye anasema alioteshwa na Mungu ndotoni kuwa tiba hiyo itaponya magonjwa sugu ya VVU/UKIMWI, Kisukari, Pumu na Shinikizo la juu la damu.

Haya ni mahojiano katika kipindi kilichowashirikisha wataalamu wa Afya, Mmoja wa wagonjwa aliyekunywa dawa na kudai anajisikia kupona na Wachungaji wawili wa madhehebu tofauti ya Kikristo.

Mwendesha kipindi ni Dk. Isaac Maro


This audio is part of the collection: Community Audio
It also belongs to collection:

Artist/Composer:
Keywords: loliondo; masapile; samunge; swahili; kkkt; tanzania; wavuti;


Individual Files

Audio Files VBR MP3 Ogg Vorbis
20110327140010.mp3 27.4 MB
28.0 MB
20110327150010.mp3 27.4 MB
28.1 MB
20110327160010.mp3 27.4 MB
27.5 MB
Information FormatSize
NjiaPanda-Loliondo_files.xml Metadata [file]
NjiaPanda-Loliondo_meta.xml Metadata 1.0 KB

Be the first to write a review
Downloaded 457 times
Reviews


Terms of Use (10 Mar 2001)